umakini mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuweni makini na wauza vifurushi wa mitandaoni

    Nikiri nimechagua kuibiwa kibwege kabisa. Niliona mtu mmoja anayetangazwa na KIGOGO2014 huko Instagram kuwa anauza bando kwa bei nafuu. Nikamfata inbox kuomba kujua zaidi kuhusu hiyo huduma. Akanieleza huduma ni ya uhakika kabisa, nikaangalia kwenye comment zake sikuona comment yeyote mteja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…