Hivi mnajiona nyie ni wajanja sana au si wateja wenu ndo mnatukuta malofa sana?
Hivi kwanini mtu kama ana dakika bado zimebaki kwenye kifurushi chake let's say Cha mwezi halafu akiunga kingine kabla Kile hakijaisha msifanye tu kutop up hilo bando, au basi akiendelea kutumia mkate zile dakika...