Kila hatua unayopiga kwenye maisha ipime kwa kuangalia ulikotoka. jiulize jana na juzi nilikuwa wapi leo niko wapi, majibu yake yatakupa taswira kama unapiga hatua au unarudi nyuma.
Wapo wengi ambao hupima mafanikio yao katika nyanja moja tu ya maisha "hali ya kiuchumi" pasipo kuangalia...