umasikini tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huyu ndiye kiongozi na mgombea tunayetegemea atumie 'Neoclassical economics' na adadavue 'Complex Economic Boost Projects' Kuondoa umasikini Tanzania

    Huyu ndiye kiongozi ambaye wananchi wa Huko Kilongosi Mtwara, Wanamtegemea atumie akili yake kuinua sekta ya Viwanda na Kutafuta masoko ndani na nje ya nchi ili wauze korosho zao Huyu Ndiye Mgombea ambaye wanafunzi wanaokaa chini kwa kukosa madawati, Wanamtegemea achacharike kufanya transformed...
  2. Ukipinga Kodi kwa kufunga duka unamkomoa nani? Tujifunze kwa Wakenya

    Ninaendelea kumsikiza! "Yaani sisi Tanzania tunapinga kodi kwa kufunga maduka, wakati wenzetu Kenya wameandamana. Ukifunga duka unamkomoa nani? Usifikiri kwamba unaikomoa serikali, sababu wataendelea kukusanya makato ya mikipo mliyochukua. "Serikali haikomoleki, andamaneni mdai haki zenu...
  3. Ukifikiria vizuri kabisa na kwa utulivu utagundua sababu kuu ya umasikini Tanzania na Afrika ni ukosefu wa maadili na uzembe

    Ukosefu wa maadili na uzembe kwa watumishi wa umma na wananchi ni tatizo kubwa ambalo limechangia na linaendelea kuchangia umasikini nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla. Tatizo hili lina mizizi yake katika malezi na mazingira ya kijamii ambayo watumishi hawa wanakulia. Mfano mmoja ni ufisadi...
  4. Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI? Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza. Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…