Habari wanajukwaa.
In short niseme tu umaskin ni janga kwelikweli unavyoona CCM inaendelea kutawala leo ni kwa sababu ya umasikini tulionao, mimi huwa naamini mtu akiwa na Maisha sio ya kitajiri sana ila maisha flana standard anakua na uelewa automatically bila hata kupewa Elimu...kataa kwa...