umaskini na uzinzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. God Fearing Person

    Uzinzi utakufanya uwe masikini haijalishi unafanya kazi gani

    Ukiwa mzinzi, utaandelea kuwa masikini. Uzinzi haupatani na HELA. Uzinzi unaua FOCUS. Kuna jamaa mmoja nilienda kumtembelea huyu jamaa mzinzi sana ila ameishia kuishi kwa madeni ya hapa na pale. Malaya hana uwezo kukumbusha kujenga au kununua tofali au kufungua kampuni.
Back
Top Bottom