umbali mrefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Wanaotembea umbali mrefu kwa Miguu au wafanya Mazoezi ya Kutembea kwa Miguu hufaidika na yafuatayo?

    1. Hawazeeki upesi 2. Huwa ni Wakakamavu 3. Hawaugui hovyo 4. Huishi muda mrefu 5. Upumuaji wao (siyo Kujamba) huwa mzuri 6. Miili yao huwa na Mvuto 7. Uwezo wa Akili huongezeka Nayasubiri kwa bashasha zote Majibu yenu ili basi nami GENTAMYCINE kuanzia Kesho nianze Ratiba ya kutafuta kwa...
  2. Kaka yake shetani

    Mfahamu mwana dada aliyedondoka umbali mrefu toka kwenye ndege bila parachuti na kupona

    Mpaka leo hakuna rekodi wala kutokea kwa binadamu kutoka kwenye ndege na kuanguka ardhini na kupona. Historia hii ina muangukia mwadada Vesna Vulović.mpaka kumuingiza kwenye kitabu cha maajabu ya dunia. Mnamo tarehe 26 Januari 1972, Vesna Vulović alikuwa mhudumu wa ndege kwenye ndege ya JAT...
Back
Top Bottom