umbali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kumbe safari ya Arusha Mpaka Kenya (Nairobi) ni masaa matatu mpaka nne, Basi Haichoshi kabisa,naweza enda na kurudi chap kulitumikia taifa langu

    The total driving distance from Arusha, Tanzania to Nairobi, Kenya is 170 miles or 274 kilometers.(TravelMath Calculator). The driving distance from Nairobi (NBO) to Arusha (ARK) is 160 miles / 257 kilometers, and travel time by car is about 3 hours 14 minutes. (Air Miles calculator) Trippy
  2. Falcon asafiri kutoka Afrika Kusini mpaka Finland kwa umbali wa Kilomita 230 kwa siku

    Imeelezwa kuwa ndege huyo aina ya Faicon aliyefuatiliwa mwenendo wake na kifaa cha GPS amesafiri kutoka Afrika Kusini hadi Finland akikamilishsa Kilomita 230 kila siku na kukamilisha safari yake baada ya siku 42 Habari kamili ni hii hapa The female falcon was equipped with a GPS tracker during...
  3. Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

    Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo...
  4. Hivi ushawai kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari yako katikati ya safari hebu tuambie ulitembea umbali gani kwa miguu

    Kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani ni vitu ambavyo vinatokea kama ajari Wadau hivi sikuna watu humu walishawai kusota umbali mrefu baada ya kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani kitendo kilichokulazimu utembee kwa miguu mpaka sehemu unayokwenda. Sasa hebu tupe story ilikuwaje...
  5. TMA: Kimbunga “HIDAYA” kipo umbali wa Kilomita 120+ kutoka Pwani ya Dar es Salaam

    Dar es Salaam, 04 Mei 2024 saa 12:00 Asubuhi: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo karibu na maeneo ya pwani ya nchi yetu. Hadi kufikia saa 9 usiku wa kuamkia leo, Kimbunga “HIDAYA” kilikuwa katika eneo la bahari takriban...
  6. K

    Haya majenereta yanaweza kutoa na kupeleka maji umbali gani?

    Jamani nimeambatanisha picha za maelezo ya generator mbili za kuvuta na kusukuma maji .Naomba mtaalamu aniambie generator hizi Kila Moja inaweza kuvuta maki kutoka vhanzo kwa umbali Gani na kutupa majo Kwa umbali Gani?na kiwango cha maji yakusukumwa kwa dakika ni kiasi gani?
  7. Ni kwanini Wanaotembea umbali mrefu kwa Miguu au wafanya Mazoezi ya Kutembea kwa Miguu hufaidika na yafuatayo?

    1. Hawazeeki upesi 2. Huwa ni Wakakamavu 3. Hawaugui hovyo 4. Huishi muda mrefu 5. Upumuaji wao (siyo Kujamba) huwa mzuri 6. Miili yao huwa na Mvuto 7. Uwezo wa Akili huongezeka Nayasubiri kwa bashasha zote Majibu yenu ili basi nami GENTAMYCINE kuanzia Kesho nianze Ratiba ya kutafuta kwa...
  8. Tabata Dar es Salaam: Nani ametoa Kibali cha Vituo 3 vya Mafuta kujengwa ndani ya eneo la Makazi tena chini ya umbali unaotakiwa?

    Kuna vitu nchi hii vinafanyika kihuni sana. Hivi nani anatoa kibali kujenga Vituo vya Mafuta bila kujali umbali unaotakiwa wala kuangalia athari kwa makazi ya watu? Pale Baracuda Tabata kuna Vituo vitatu vinajengwa ndani ya eneo moja tena vimekaribiana mno kiasi ambacho unajiuliza kwanini hatua...
  9. LATRA yatangaza ongezeko la nauli za Safari za Masafa Marefu na Mafupi kuanzia Desemba 8, 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini. Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600...
  10. Umewahi kwenda umbali gani mrefu ama kupoteza muda kiasi gani ili kutuliza kiu ya sigara, pombe au uraibu mwengine?

    Achana kabisa na addiction ya sigara. Nakumbuka nilifikia kijiji flani nikiwa nimesahau pakiti yangu ya sigara niliyopanga kuitumia kwa muda ntaokuwepo hapo kijijini. Palikuwa ni bush sana na hata maduka machache yaliyopo hawakuuza sigara. Ilinibidi nitembee mwendo wa lisaa na nusu kufikia...
  11. Ukraine wafaulu kutumia kombora la masafa marefu, wapiga umbali wa kilomita 700

    Hiyo kama kutoka Dar hadi Tabora. Kadiri siku zinakwenda ndivyo Ukraine wanaongeza jeuri ya kufanya makuu, Mrusi hajui atoke vipi.... The Ministry of Strategic Industries reported on the successful use of long-range weapons of Ukrainian production: it hit a target from 700 kilometres away...
  12. K

    Pump ipi bora ya kumwagilia shamba ekari 50 umbali wa mita 800 kutoka ziwani?

    Wadau ninashamba la ekari 50 ukanda wa ziwa victoria Nataka nifanye kilimo cha umwagiliaji WA mahindi na mpungu wakati wa masika na kiangazi. Shamba Kikimit 700 800 kutoka ziwani. Je, wazoefu nitumie aina gani ya pump naomba na ushauri na specifications Kwa pump za solar dizek na petrol.
  13. Umewahi tembea umbali gani mrefu kwa miguu ndani ya jiji la Dar es Salaam?

    Nakumbuka siku moja nikiwa Msasani alitokea kijana mmoja akaniomba nimtembeze kwenye mtumbwi. Ila kwa bahati nzuri kukawa na boti linaenda Kigamboni siku hiyo, basi bhana nikamuunganisha akaniambia tuende wote mpaka taifa tukaangalie na Mpira kati ya Yanga na Mbeya city. Alifurahi sana...
  14. Picha ya dunia kutoka umbali wa Kilomita Bilioni Sita (06). Halafu kuna watu wanafikiri uwepo wao duniani ni kwa bahati mbaya

    Picha hii iliyopewa jina la "kitone cha samawati (The blue dot)" ilipigwa na Voyager 1 mwaka wa 1990. Chombo hicho kilipo kimbia kuelekea anga za juu, kiliikamata Dunia kutoka umbali wa maili bilioni 3.7 (kilomita bilioni 6). Nb: Atheists mrudieni mungu bado hamjachelewa
  15. Ni kweli kwamba mwanaume akifika mshindo ni sawa na nguvu anazotumia kutembea kwa mguu umbali wa kilometa 3 ?

    Kuna kale kauchovu huwa kanakuja baada ya kupiga bao inabidi usizi dakika kadhaa kabla ya kuendelea raundi nyigine, wengine hata kuendelea hawewezi wakishapiga kimoja kifuatacho huwa ni kuuchapa usingizi mzito. Kuna namna yoyote huo uchovu ni kama ule wa mtu anaetembea kilometa tatu ?
  16. T

    Digita Camera ya Megapixels 3,200 yazinduliwa huko California. Ina uwezo wa kuona kitenesi umbali wa Kilomita 32.

    Wanasayansi huko California Marekani wametemgeneza Digital camera ya ukubwa wa MP 3,200 ambayo ina uwezo aa kuona kale kampira kadogo ka golf kwa uzuri kabisa kakiwa umbali wa kilomita 15 na ushee. Kamera ina ukubwa sawa na gari ya vitz ama ist.
  17. Risasi ikipigwa juu angani inaweza kudhuru mtu ikishuka? Bunduki inaweza kupiga risasi na kudhuru kwa umbali gani?

    Wakuu, wale wanaopiga risasi angani wakati wa sherehe au kutisha watu. Je, risasi hizo zinaweza safiri umbali gani angani? Wakati wa kushuka zinaweza kumdhuru mtu, na risasi inayopigwa horizontally inaweza kusafiri umbali gani na kudhuru mtu?
  18. Uhaba, utaratibu mbovu na umbali wa miundombinu ya kumwaga taka chanzo cha uchafuzi wa mazingira jijini Dar es Salaam

    Salaam Wakuu, Kumekuwa na kampeni mbalimbali za kuhimiza ufanyaji usafi katika Jiji la Dar es Salaam. Viongozi hasa Wakuu wa Mikoa akiwamo Makalla na Mstaafu Makonda wamejaribu kuanzisha kampeni kwa kuwatumia watu maarufu na kushirikisha Media mbalimbali kuhimiza watu na kuweka siku maalum za...
  19. Tanganyika: Wanakijiji kutembea umbali wa zaidi ya kilomita 50 kufuata huduma za Afya

    Wananchi wa vijiji vya Bungwe, vikonge, Ngomalusambo katika kata ya Tongwe wilayani Tanganyika katika mkoa wa katavi wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali na kubwa zaidi ni kokosekana kwa zahanati katika vijiji vyao,. Wanakijiji wa kutoka kijiji cha Bungwe wamekuwa wakisafiri umbali wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…