Wakuu,
Kuna wadada na wamama huku mitaani tunapoishi wana tabia ya kukaa vibarazani nje iwe mchana iwe usiku wanakaa hapo sehemu ya njia watu kupita kuna hizi barabara za mitaa sasa nyumba zimepangana pembeni barabara inapita katikati wamekaa vibarazani kuwachora wanaopita njia yaan wanatega...