umefeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    Umefeli? Umekosa hata cheti uende Chuo cha Ualimu? Basi subiri uiingie Jeshini

    Anaingia JKT, anamaliza kozi za mafunzo, anapata Ajira Jeshi la Polisi . Anaendelea kufanya kozi Kadhaa wa Kadhaa, anapanda vyeo ,na kweli anakua hata OCD . Kama sio Sasa, ndivo ilivyokua . Kwa namna hii Kwa nini tusijitungie Sheria za kutulinda dhidi ya kushatakiwa pale tunapotimiza majukum...
  2. bopwe

    Mradi wa mabasi ya mwendokasi- umefeli

    MRADI WA MWENDOKASI: MIFANO HALISI YA WIZI WA FEDHA ZA UMMA Mradi wa Mwendokasi (BRT) ni kielelezo cha namna miradi mikubwa inavyogeuzwa kuwa mashamba ya mafisadi badala ya kuwanufaisha wananchi wa kawaida. Tunaposema Tanzania ni nchi ya wizi na rushwa, hatusemi kwa dhana tu—tuna ushahidi wa...
  3. dr namugari

    Mradi wa kuuza tofal wa halmashauri ya Arusha Dc umefeli vibaya madiwani waawajibishwe kwa kusababishia serekali hasara

    Niko ziara ya kikaz mkoa wa arusha na nikatembele arusha Dc ndipo nikabaini upigaji wa kutisha kwenye mradi mmoja wa ufwetuaji wa tofauli za bloku Kwanz nimebaini kuwa waliuziwa mtambo kwa bei ya juu ambao hadi sas hv haufanyi kaz tayari imearibika walinunua zaid ya milion. 120 mtambo ambao...
  4. sinza pazuri

    Ali Kiba hapa kwa Dulla umefeli kabla ujaanza

    Wote tunajua Dulla planet bongo ni kijana aliyekuta planet bongo kama kipindi pendwa ikadondoka na kupotea kabisa. Sasa ndugu Ali kiba kapewa na mnene mmoja asimamie redio na kuipromoti ambayo inazinduliwa kabla ya pasaka. Yeye kiba akaenda kuokota dulla pale east africa radio na kumpa kitengo...
  5. Blender

    Kama 70% ya Umeme Wa Tanesco ni wa Gesi, Mbona Maji yanasingiziwa sana?

    “Kwa wastani umeme unaozalishwa kwa kutumia gesi asilia ni takribani asilimia 65 mpaka 70 ya umeme wote unaozalishwa nchini. Wataalam wanatuambia kwamba kama tusingekuwa na gesi asilia, tatizo la umeme nchini lingekuwa kubwa zaidi. Kwahiyo, tushukuru sana Mungu kutuletea rasilimali hii ya gesi...
  6. 5

    Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

    Imebidi nije hapa huu mtandao wa Loan Board hauko vizuri hasa hasa kwenye kipengele cha Preliminary information hakuna chochote unachoweza kujaza na uka submit na ukakiona kwenye preview. picha hata useti kwa kiwango kipi 120x150px haionyeshi wala haikai kwenye mfumo. Tunaomba kujua hapa nina...
  7. G

    Tunarudi kwenye enzi za mabosi wa Mashirika ya Umma kujaza watu wa makabila yao. Tiketi aliyotoa Rais inaenda kupiga mchujo wa kikabila kwenye ajira

    Niseme tu Mama ameshauriwa vibaya katika hili la leo kuruhusu mabosi wa kila shirika kuajiri badala ya kuwa na utaratibu uliopo wa chombo kimoja kusimamia ajira za mashirika yote. Ikumbukwe wazo la chombo kimoja kusimamia ajira lilikuja baada ya upendeleo uliokuwepo wa wazi wazi katika ajira...
  8. Idugunde

    Bashe umefeli juu ya suala la chakula

    Acha porojo mbovu. Kama mnakusanya tani laki tano ya vyakula mbona mfumuko wa bei za vyakula upo juu? ==== Waziri wa kilimo Mhe.Hussein Bashe amesema uwezo wa kuhifadhi chakula umeongezeka kutoka tani laki 200,000 mpaka laki 500,000 hivyo wakati wa msimu wa kuvuna watanunua mahindi na mpunga...
  9. H

    Kwanini Wimbo "Umeniweza" wa Ommy Dimpozi umefeli japo ni mzuri sana

    Mwanamziki wa Bongo fleva Omary Nyembo a.k.a Ommy Dimpozi hivi karibu ameachia song lake la Umeniweza baada yakukaa kwa muda mrefu bila kuachia anysong wimbo wake kiukweli ni mzuri kuanzia beat, melody hadi mashairi lakini umeshindwa kutoboa au kuhit kabisa shida ni nini?
  10. Mwansembo elly

    Ushauri kwa wadogo zangu, kaka na dada zangu wanaotaka kukata tamaa kisa wamefeli Kidato cha Nne

    Habari wakuu wangu wadogo marahaba wakubwa shikamooni. Kwanza natanguliza shukurani zangu dhati kwa wote mliopitia hapa na kusoma uzi huu. Leo napenda nitoe ushauri kwa wadogo zangu kaka zangu dada zangu mliomaliza Form four na matokeo kuja tofauti yaaani kufeli kupata four au zero kabisa...
  11. DaudiAiko

    Uanaharakati umefeli Tanzania

    Wanabodi, Wengi wana uelewa kwamba katika nchi inayo minya haki, katika serikali inayo didimiza uhuru wa kujieleza, katika serikali inayo ingilia vyombo vya habari, uanaharakati ni njia muhimu katika kuhakikisha kwamba serikali inawajibika kwa maamuzi yote yanayofanywa. Katika kipindi hiki...
Back
Top Bottom