Wanabodi,
Wengi wana uelewa kwamba katika nchi inayo minya haki, katika serikali inayo didimiza uhuru wa kujieleza, katika serikali inayo ingilia vyombo vya habari, uanaharakati ni njia muhimu katika kuhakikisha kwamba serikali inawajibika kwa maamuzi yote yanayofanywa. Katika kipindi hiki...