Mkutano mkuu wa CCM unaendelea Dodoma. Yapo malengo waliyojiwekea kwa ajili ya umma na ndiyo sababu mkutano ukawa mubashara.
Je, wewe kama mwananchi umejifunza nini au kipi unachodhani kimefanyika kwa tija ya umma na ungependa kiwe advocated watu wengi zaidi wakibebe kwa hatma positive ya nchi...
Happy holidays people and long time...i missed you
Tukiwa tunaelekea kumalizia mwaka 2024 ni mambo gani umejifunza through out the year?
Binafsi mwaka huu nina mengi ya kusimulia kwa hawa the so called "MARAFIKI" nitaandika makubwa mawili tu ili kuokoa muda
KWANZA,nimejifunza kwamba urafiki...
Hizi nyumba mbili moja imejengwa na Tulia foundation na nyingine chini ya Foundation ya Malisa .
Kuna nguvu kubwa kufanya mambo kutoka moyoni
Hingera Malisa Gj pia hongera Tulia
Ndugu zangu Watanzania,
Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la kugusa hisia za watu na ambalo liliteka hisia za watu wengi sana mitandaoni na DUNIA nzima kwa ujumla...
Habari za muda huu wapendwa.
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.
Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka unajuta kuzaliwa, lakini kila nyakati tunazopitia kwenye maisha zinabeba ujumbe na mafunzo ambayo...
Waswahili wanasema Mtu akipata Mtoto kuna namna hujikuta akibadilika na kugundua baadhi ya Mambo ambayo hapo awali hakuwahi kuyajua wala kuambiwa na waliomtangulia kwenye Malezi
Mtu mmoja aliniambia ukipata Mtoto/Watoto Maisha yako yanakuwa na Hofu mara kwa mara ukiwaza kama Ukifa mapema Maisha...
Wakuu,
Mwaka 2023 unakaribia kuisha, tumekutana na mambo mengi, ya kufunza, kukatisha tamaa, kutusogeza mbele ama kuturudisha nyuma, kutupa nguvu na kutufurahisha pia.
Katika mambo yote uliyokutana nayo, ni kipi kimekugusa sana kwa namna moja ama nyingine na kukufunza jambo?
Pole sana Wanawake mnaosubiri mtalakiane na Mme wako afu mdai talaka mwisho mgawane mali.
NIMEPENDA HII YA KIJANA (HAKIMI) kama ujaipata ifuatilie......
ume
Wakuu poleni na Majukumu, moja kwa moja kwenye mada .
Binafsi Mpaka sasa nimejifunza haya hapa👇👇
1: Kama hutapambana kufanya kazi kwa bidi kutimiza ndoto zako mwenyewe, kuna mtu atakuajiri na kukupa kusudi.
2: Maisha hayangojei uwe sawa, amka kila siku na uendelee kusonga mbele.
3: Wathamini...
Feminist mmoja kutoka nchini Marekani ali safiri hadi visiwa vya Papua New Guinea kufanya mahojiano Na mwanaume mmoja ambae anatoka katika Kabila la binadamu wanao Kula nyama ZA watu ( Cannibalists) ambao pia wana wanatawaliwa Na mfumo dume
Baada ya maswali mengi, Feminist huyo alimuuliza...
1) Mie binafsi nimejifunza kusave money
2) Kutomridhisha kila mtu
3) Kufanya kila jambo la maendeo kwa usiri mkubwa
4) Kutokumuamini mtu awe ndugu au rafiki imenisadia sana kupiga hatua
5) Kuongeza vyanzo vingi vya kupata pesa
6) Kuacha umbea sehemu za kazi kwasababu nilirekodiwa maneno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.