Yaani nakatwa kodi kubwa hivyo kwa mwezi lakini hata kuwa na umeme wa uhakika imeshindikana?
Hela hizi ni bora nirudishiwe nitafute jenereta kubwa niliwekee mafuta.
Manispaa ya Dodoma tangu saa 11 umeme umekatika na kila nilikopita kote hakuna umeme (Area C, Area D, town centre, Ipagala, kisasa, Ilazo, Ihumwa na maeneo mengine).
Wenzetu mlioko mikoani na maeneo mengine ya mkoa wa Dodoma, umeme upo??
Hivi hii SGR kwa umeme huu itakuwaje?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo:
Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Yakubu alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Amemteua...
ceo
gerson msigwa
hongera
katibu
maharage
mara
michezo
mkuu
mpya
msigwa
rais samia
sana
sanaa na michezo
tanesco
umeanza
umekatika
umeme
utamaduni
uteuzi mpya
vizuri
wizara ya utamaduni
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake leo August 22,2023 kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo II.
“Hitilafu hiyo imesababisha mapungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kutokuwa kwenye mfumo...
Nigeria imezima umeme iliokuwa inapeleka nchini Niger ikiwa ni sehemu ya vikwazo vya ECOWAS kupinga mapinduzi ya kijeshi.
Kwa mujibu wa AFP, asilimia 70 ya umeme unaotumika Niger unatoka nchini Nigeria.
Chanza: swahilitimes
Uwanja wa Taifa giza Tena,Mwigulu ansema tupo salama
Jamani ,tuwe serious hii Ni mara ya pili.
CAF fungieni uu uwanja tafadhali
===========
Mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Young Africans SC dhidi ya Rivers United ya Nigeria imesimama kwa...
benjamin mkapa
giza
jana
kukatika
kukatika umeme
mechi
mkapa
mkapa stadium
mmoja
mzungu
salama
taifa
umekatika
umeme
utanzania
uwanja
uwanja wa benjamin mkapa
uwanja wa taifa
wakati
yanga
Mechi ya Taifa Stars na Uganda yasimama kwa muda kutokana na taa za uwanjani kupungua mwanga, mwamuzi wa mchezo amesimamisha mechi akifanya mawasiliano na meneja wa mchezo kuona ni mamuzi gani yafanyike.
====
Sasisho: Taa zilizokuwa zimepoteza mwanga zimewaka na mchezo unaendelea ili...
Inasikitisha sana.
---
Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wa Shule ya Uuguzi na Afya ya umma (SoNPH) Ezekiel Sostenes amelazwa hospitali ya Rufaa ya Kanda ya kati Benjamin Mkapa baada ya kujirusha ghorofani.
Awali kabla ya tukio hilo jana, kulikuwa na ujumbe wa WhatsApp ambao Mwananchi...
Shida ya umeme wa Tanzania ni nini? Je, ni
Siasa?
Tanesco?
Maji?
Gesi?
Mitambo chakavu?
Hujuma?
Au nini? Mimi nilijua shida hii ipo maeneo ya mjini tu kukatikakatika kwa umeme ila sasa nimekuja huku Turiani, Mtibwa leo tu jioni mpaka muda huu umeme umekatika mara kumi sasa shida ni nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.