Habari wana JF.
Kwanza kabisa niharakishe kutamka hapa kwamba sipingi viboko mashuleni.Viboko 'huamsha' wazembe,halikadhalika husaidia kurekebisha nidhamu'kwa kiasi fulani'. Lakini adhabu ya viboko ina namna yake na idadi yake.Lengo la viboko ni kunyoosha na sio kukomoa.
Tatizo tulilo nalo leo...
Maeneo ya Kinzudi
Utupaji wa takataka kwenye makazi ya Watu umekithiri kwa kisingizio cha kuziba makorongo ambacho ni kinyume na uhifadhi wa mazingira.
Walianza kwenye viwanja vilivyo mabondeni, makazi ya watu na sasa wanamwaga kwenye mito iliyochimbika baada ya mvua kukatika.
Adha, hii...
Huu wizi umezidi, na tunauchekea kama hatuna akili nzuri.
Mtu ataanzishaje mfumo wa ukusanyaji mapato na kutengeneza namb za slio wa kutuma daa za serikai?
Hapa wakubwa wanahusika!
Lililotokea Mbeya na Arusha ukusanyaji mapato kwa kughushi data, ni lazima ni tatizo la nchi nzima.
Za asubuhi wananchi wenzangu,
Leo katika mahangaiko naingia ofisini Kariakoo nakuta hamna sukari, nikaingia mtaa wa pemba kwenye maduka ya jumla nipate hata sukari ya kuanzia wiki aisee nimekuja pata sukari soko la kisutu baada ya kutembea dk 45.
Je, sukari imeenda wapi na hiyo iliyoagizwa...
Ile wikiendi ya sikukuu ya Nane Nane niliendesha gari kutoka Dar hadi Morogoro na kugeuza baada ya siku kadhaa, na Jumamosi ya juzi pia niliendesha kutoka Dar hadi Chalinze, nilichokiona barabarani nyakati zote, wakati wa kwenda na hata wakati wa kurudi, kilinishtua na kunishangaza sana, idadi...
DAWASA huu wizi unatosha sasa. Kwa mtindo huu tutaishia kutumia maji ya visima tu.
Kwa miaka takriban minne natumia maji ya DAWASA, familia yangu yote sio ya kushinda nyumbani ikimaanisha kutwa nzima hakuna matumizi ya maji.
Kwa miaka yote hiyo bili yangu ilikuwa haivuki units 4 kwa mwezi...
Mahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile.
Akizungumza mahakamani hapo Hakimu mkazi mwandamizi wa...
Tanzania kila kukicha ni matukio ya ulawiti tu shida nini? Ushirikina, tamaa ya ngono, malezi ya hovyo au maadili? Irina mnafeli wapi?
----
Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha Ayubu Kiyanza (22) Mkazi wa Don Bosco Manispaa ya Iringa kwa kosa la kumlawiti Mtoto mwenye...
Kero hii ni kubwa na inasumbua watu wengi sana, na uchafu huo unatokana na kuwa karibu na jalala na pia kuwa karibu na machinjio ya ng'ombe.
Uchafu huu unasababisha harufu mbaya inayo fika hadi kwenye nyumba za watu, na pia kuanikwa kwa mbolea ya ng'ombe kunasababisha uwepo wa wadudu kama nzi...
Marekani ni taifa ovu kupiltiliza!! Marekani imepokonya mabilioni ya dola za marekani mali ya urusi! Kama hiyo haitoshi imepokonya mabilioni ya dola za marekani zikiwa ni pesa binafsi za raia matajiri wa Urusi, na imepokonya mali za raia hao kama majumba, ndege, mashua za starehe nk. Kwa...
Hapa ieleweke si Ile hali ya kuvamiwa, ni umekaa amepora amesepa, na akikulia timing anakuumiza.
Si ishu tu ya uhitaji wa sungusungu akili zichanganywe katika level ya kufikir nje ya box.
Wengi hawajui level of crimes, baadhi ya nchi ulimwenguni hakukaliki kutokana kiwango kilichopitiliza...
Tutaendelea kusema hata kama hakuna hatua lakini wizara ya maji ni wezi na viongozi wa wizara ndo vinara wa wizi.
Waziri Aweso na katibu mkuu wake ni wezi wa pesa za wizara kwa kushirikiana na watendaji walioko ktk ofisi za mabonde. Kuna pesa nyingi zinapelekwa ktk ofisi za mabonde na kurudishwa...
Paul Makonda alisimamia misingi ya maadili ndio maana alidhibiti vibaka , wavuta madawa, wezi , wavuta unga na mashoga.
Sasa hivi Dar wavuta unga na mashoga wamekithiri kama jahanamu. Nenda Buguruni, Tandika na Magomeni ushoga ni kama kawa. Watoto wa kiume wanajipaka lipstick.
Wavuta bangi na...
Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani wameiomba kamati ya ulinzi na usalama kukomesha matukio ya utupaji maiti katika msitu wa Pugu Kazimzumbwi, ambapo Julai hadi Agosti maiti sita zimekutwa kwenye msitu huo.
Chanzo: East Africa TV
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.