Huku Bariadi kata ya Muamatondo hasa kijiji cha Mwasinasi umeme umekuwa kero toka wakati wa mgao hadi kuwashwa kwa mitambo ya Bwawa la mwl Nyerere. Yaani kwa siku wanakata hata zaidi ya mara saba, kibaya zaidi hatuambiwi shida nini.
Toka jana Jumamosi asubuhi mpaka leo saa tisa na robo Jumapili...
Serikali ikiwa kwenye jitihada nzito za kuhakikisha NISHATI UMEME inapatikana vijijini kote lakini huku hali ni tofauti.
Kata ya Gilya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, taasisi za Serikali kama Shule na Zahanati hazina UMEME huu mwaka wa pili, ikiwa nguzo za UMEME zimepita kuelekea vijijini...
Anonymous
Thread
halmashauri ya wilaya bariadi
huduma ya umeme
nishati ya umeme
rea
umemebariadiumeme kata ya gilya
umeme taasisi za serikali
umeme vijijini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.