TANESCO Kanda ya Ziwa, hususan mikoa ya Mwanza, Mara, Geita na Shinyanga, tunaomba msikilize malalamiko ya wananchi na wateja wenu kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma ya umeme.
Maombi ya kuunganishiwa umeme yamekuwa yakichukua zaidi ya miezi sita bila hatua za msingi kuchukuliwa...