Katika ulimwengu wa kisasa wa teknolojia, matumizi ya akili bandia (AI) yameongezeka kwa kasi kubwa, huku mifumo kama ChatGPT, Google Gemini, Grok AI, na Microsoft Copilot ikitumika kusaidia watu katika nyanja mbalimbali. Lakini je, umewahi kufikiria kuhusu kiasi cha umeme kinachotumika kila...