Serikali ikiwa kwenye jitihada nzito za kuhakikisha NISHATI UMEME inapatikana vijijini kote lakini huku hali ni tofauti.
Kata ya Gilya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, taasisi za Serikali kama Shule na Zahanati hazina UMEME huu mwaka wa pili, ikiwa nguzo za UMEME zimepita kuelekea vijijini...
Anonymous
Thread
halmashauri ya wilaya bariadi
huduma yaumeme
nishati yaumeme
rea
umeme bariadi
umemekatayagilyaumeme taasisi za serikali
umeme vijijini