Ni takriban miaka zaidi ya sita tangu huduma ya umeme ifikishwe katika KATA ya MAGANGE Wilayani Serengeti mkoani Mara lakini tangu wakati huo wananchi mbalimbali walijaza fomu za maombi ya kuunganishiwa lakini mpaka sasa wajapatiwa huduma hiyo.
Baadhi yao walijaribu kwenda mpaka katika ofisi za...