umeme kilimanjaro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vitongoji 1,997 sawa na 88.4% vimepatiwa huduma ya umeme Kilimanjaro

    Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, ameeleza kuwa jumla ya vitongoji 1,997 sawa na asilimia 88.4 kati ya vitongoji 2,260 vimeshapatiwa huduma ya umeme kupitia miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), iliyopita na inayoendelea...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Masama, Kilimanjaro umeme hukatika mara 50 kwa siku

    Masama Kilimanjaro hii sehemu ni balaa wakuu umeme unakatika sio chini ya mara 50 kwa siku yaani kila baada ya dakika 5 umeme unakatika nina wiki ya pili kikazi huku aisee sio poa nikiwauliza wenyeji wanadai hii hali wameizoea na wanaumia lakini hawana jinsi Masama Hai Kilimanjaro ni eneo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…