umeme kukatika ovyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO TANESCO, Mbagala mnatuunguzia vitu kwa kukata umeme na kurudisha ghafla

    Mimi ni mkazi wa Mbagala, Mbande, na kwa kweli hali ya umeme katika maeneo haya ni ya kutisha. Maeneo yote yanayozunguka Chamanzi, Mbande, na Kisewe yanakumbwa na matatizo makubwa yanayohusiana na huduma ya umeme kutoka Tanesco. Katika kipindi cha wiki mbili zilizopita, taa sita ndani ya nyumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…