Wadau, salaam!
Mi nipo kanda ya ziwa. Nina kiduka, ambacho kinafanya shughuri za ki fedha, yaani, wakala wa Benki mbali mbali, na pia, makampuni ya simu. Pamoja na wateja wa kutoa na kuweka fedha, wapo wa kununua Luku, pamoja na kulipia maji.
Sasa, toka mwezi huu wa Septemba uanze, nimekuwa...