Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba amesema hayo akizungumza leo Jumatano Agosti 7, 2024 alipotembelea banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) lililopo katika maonesho ya Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma.
“Wakati mwingine tunatumia umeme kuwasha taa, kuwasha TV, kuwasha...