Ujenzi wa mradi wa umeme katika Mto Rufiji umetajwa kuwa wa mfano katika nchi za SADC na nchi wanachama wa Afrika Mashariki wa EAC, kutokana na namna Serikali ilivyoamua kuusimamia.
Akizungumza katika kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar leo na Wanahabari ...
bwawa la umeme
bwawa la umemerufiji
mradi wa umemerufiji
rais magufuli
sadc
sadc mradi wa umeme
sadc yamuunga mkono magufuli
tanesco
umemerufijiumeme tanzania