Ujenzi wa mabwawa makubwa kama hili letu huwa unaambatana na mikopo mikubwa ambayo ishawahi kusababisha uchumi kuanguka katika nchi za Turkey, Brazil, Mexico, na Yugoslavia ya zamani
kwa mfano bwawa la Tarbela kwenye mto Indus huko Pakistan.Mwaka 1968, kiliwekwa kipengele cha interest ya 7.5...