Serikali imewahakikishia Watanzania kuwa Treni ya Kisasa (SGR) haitakuwa na tatizo la umeme, kwa sababu mabehewa yatakuwa na uwezo wa kuhifadhi umeme wa ziada kwa saa moja hadi mbili.
Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani, alibainisha hayo mwishoni mwa wiki mjini Morogoro wakati akifungua kikao...