Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inatekeleza mradi wa kuiunganisha Mikoa ya Mtwara na Lindi na umeme wa gridi kutokea Songea kwa kupitia njia ya Tunduru, Masasi -Mahumbika.
Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Novemba 04, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua kituo cha kupokea na kupoza umeme katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) chenye uwezo wa megawati 34 ambacho sasa kinawezesha GGML kuanza kutumia umeme wa gridi kwa matumizi yake badala ya mafuta na hivyo kupunguza gharama...
MGODI WA GGM WAANZA KUTUMIA UMEME WA GRIDI BADALA YA MAFUTA
📌 Dkt.Biteko azindua kituo cha kupoza umeme cha GGM (MW 34)
📌 Asema kitaongeza mapato ya mgodi kwa Serikali
📌 Aipongeza GGM kuzipa kipaumbele kampuni za kizawa
📌 TANESCO kuingiza mapato ya sh.Bilioni 2 hadi 3 kwa mwezi
Naibu Waziri...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Nishati na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha mradi wa njia kuu ya kusafirisha umeme kutoka Tabora hadi Katavi (132kV) pamoja na ujenzi wa kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme vinakamilika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.