umeme wa magari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Je? Kati ya umeme wa magari na umeme wa majumbani ni upi unalipa vizuri katika kujiajiri au kuajiriwa?

    Habarini wana jukwaa? poleni na majukumu. kama inavyosemeka kwa thread. Nataka kwenda veta kusomea kozi ndefu ya ufundi umeme kwahyo naombeni mnisaidie kimawazo ni umeme upi unalipa vzur sana sinto lala njaa kama nikibobea katika ufundi huo? Kuhusu kiwango cha elimu nina elimu ya form four...
  2. J

    Je? Kati ya umeme wa majumbani na umeme wa magari ni upi unalipa zaidi katika kujiajiri au kuajiriwa

    Habarini? Nimekaa nikatafakari nikaona nivyema niende kusomea ufundi katika vyuo vya tena na kozi nayoipenda kwenda kusomea ni kozi ya umeme lakini nimekua na swali nijiulizalo pasipo kupata majibu kwamba kati ya umeme wa magari na umeme wa majumbani ni kozi gani nikisomea kozi ndefu...
  3. W

    Mimi ni mwanafunzi Ufundi wa umeme wa magari. Changamoto nilizoziona mpaka sasa

    Habari wanajamii forums wote. Mimi ni kijana umri miaka21 nilianza kujifunza ufundi umeme wa magari mwezi wa tano mwishoni mwaka huu. Kiukweli nilikuwa napenda sana magari tangu awali, na aliyenivutia jamaa jirani yetu nilipokuwa nikiishi awali. Ni fundi mzuri sana ni mtu wa arusha. Siku moja...
  4. Chuo kipi kizuri kwa kozi ya Umeme wa magari kilichopo Dar?

    Jamani naomba kuulizia chuo gani Dar es salaam kizuri Kwa kozi ya umeme wa magari🙏🙏
  5. Nahitaji vijana wawili wenye uhitaji wa kujifunza Car Diagnosis, repairs na umeme wa magari kiujumla.

    Sifa Awe na basic knowledge ya magari madogo(Zingatia). Muaminifu na mchapakazi Garage iko Iko Makuburi, Ubungo. Hakuna malipo. Tuma message ya kawaida au whatsapp +255688758625 (usipige simu tafadhali).
  6. Mafundi umeme wa magari msaada

    Taa za mbele(bim na full)zote haziwaki, lakini pass light zinawaka, indicator zote zinawaka,na hazard zinawaka, gari ni RUNX 2005,INZ,nimefanya yafuatayo 1. Pale kwenye fuse box ya engine slots za taa za mbele ziko empty,hazina fuse(HEAD RH,HEAD LH),ila fuse zingine zote nzima. 2. Relay ya...
  7. I

    Fundi umeme wa magari na diagnosis

    Habari zenu wakubwa' Naitwa Kelvin mwasanjobe Nina miaka27 ' Mimi ni fundi umeme wa magari na diagnosis' Nina uzoefu wa miaka9 ' kimtaji kiukweli sijafanikiwa kufungua ofisi yangu'hivo nilikuwa naomba mwenye connection ya kazi kwenye workshop au garage yoyote aniunganishe 0629177983
  8. S

    Fundi umeme wa magari natafuta ajira. Nimehitimu Veta, nina uzoefu wa kazi kutoka Gereji mbalimbali

    Mimi ni mhitimu wa veta pia Nina ozoefu wa kufanya kazi kwenye garage mbalimbali. natafta kaz kwenye garage, kiwanda au sekta yeyote hle Napatkana kw no za simu 0626645648 & 0714624097 Email: sylivesterstephano66@gmail.com
  9. I

    Naomba ushauri: Kati ya ufundi simu na ufundi wa umeme wa magari upi unalipa?

    Kati ya ufundi simu na ufundi wa umeme wa magari upi una lipa
  10. Mafundi umeme wa magari someni hapa jamani

    Nina Altonator ya gari. Kwenye hii Altonator Kuna haya maandishi. NISANI 23100 70N 12 V. Sasa, Nikaichukua Altonator Kisha nikafunga waya kutoka Kwenye bolt na Kisha nikafunga waya kutoka Kwenye body ya Altonator. Kisha ule waya wa bolt nikafunga Kwenye terminal ya chanya ya betri. Then ule wa...
  11. Kwanini AC hufanya kazi wakati gari Linatembea/Linaenda tu?

    Angalia Thread hii ikiwa kiyoyozi chako hufanya kazi tu wakati gari lako linasonga Hakuna kitu kinaboa kama pale unapopunguza gari lako mwendo au unaposimama kumsubiri mtu/rafiki yako halafu ghafla baada ya dakika 5 baadae unagundua kuwa ndani ya gari joto limeongezeka zaidi. Unaangalia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…