Habarini?
Nimekaa nikatafakari nikaona nivyema niende kusomea ufundi katika vyuo vya tena na kozi nayoipenda kwenda kusomea ni kozi ya umeme lakini nimekua na swali nijiulizalo pasipo kupata majibu kwamba kati ya umeme wa magari na umeme wa majumbani ni kozi gani nikisomea kozi ndefu...