Wakuu kwema, wajuzi wa mambo ya umeme msaada tafadhali. Kimsingi nyumba ninayoishi haijafikiwa na umeme wa tanesco na sababu ni mtaa ninaoishi umepitiwa na mradi wa Rea na mimi sikuwa mnufaika kwakuwa nilichelewa kuhamia hivyo nimeambiwa nisubiri miezi 18 tangu tarehe ya kukabidhiwa kwa mradi...