Mwanaume unatakiwa umzidi mwanamke vitu vitatu.
1,👉Pesa
2,👉Akili
3,👉Umri
Mwanamke unatakiwa kumzidi mwanaume vitu vitano.
1,👉Subira
2,👉Usafi
3,👉Mipango
4,👉Upendo
5,👉Nguvu ya maombi
Ili mdumu mnatakiwa kufanana kwenye vitu hivi.
1,👉maelewano
2,👉uvumilivu
3,👉heshima