Mwaka ndio huo unayoyoma shukrani kwa mwenyezi, ila na vimbwanga navyo havikosekani.
Mwaka 2018 niliachana na wanawake wawili niliokuwa na mahusiano nao kipindi hiko, mmoja alipotea tu ghafla ikawa kimya kila namba niliyopiga haikupatikana nilienda alipokuwa anaishi, hola! Kazini kwake, hola...