Wazee wenzangu na wajukuu zangu salaam.
Naomba tujuzane namna sahihi ya kumeza dawa maarufu kama kutwa mara tatu.
1. Je, nigawe masaa 24/3=8 ambapo ninywe dawa kila baada ya masaa nane, yaani kama dawa nilianza kumeza saa 12 asubuhi, nije kumeza saa nane mchana, na kisha nije kumeza saa nne...