umiliki wa vizimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali ihakiki umiliki wa vizimba Kariakoo na masoko mengine

    Moja ya watu wasumbufu katika masoko ni wale wanaomiliki vizimba zaidi ya kimoja na kuwapangishia wafanyabiashara wengine. Hii husababisha migogoro mingi. Kwa mfano, soko lenye vizimba 100 linaweza kuwa na madalali, wahuni au wanasiasa wawili au watatu wanaomiliki vizimba 30 hadi 40, ambavyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…