Huenda hotuba hii ya Askofu Mwanamapinduzi ndio chanzo cha yeye kukamatwa na Polisi.
=======
Askofu Machumu: Chini ya Serikali ya mama Samia Suluhu Hassan, yeye ndio ameamua rasmi kuiuza Tanganyika, naomba iwe wazi hiyo. Yeye ameamua rasmi kuiuza Tanganyika kuanzia bandari zake, misitu...