umma

Umma (Sumerian: 𒄑𒆡𒆠 ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.

View More On Wikipedia.org
  1. Msamaha wa ushuru kwa vyombo vya usafiri(magari/pikipiki) kwa watumishi wa Umma

    Utangulizi Uzi huu unatoa maelezo kuhusu taratibu muhimu ambazo watumishi wa umma wanatakiwa kuzingatia wanapohitaji msamaha wa ushuru kwenye vyombo vya usafiri(magari/pikipiki). Aina ya vyombo vya usafiri vinavyohusika na msamaha (a) Magari (b) Pikipiki za aina zote Ushuru unaosamehewa...
  2. R

    Huko serikalini Kuna nini, ni fedheha mwalimu kusikia mtoto uliyemfundisha anakwiba Mali za umma!!

    Salaam, Shalom!! I declare interest, Mimi ni mwalimu wa watoto. Sasa Huwa tunakaa tunajiuliza, walimu Hasa tunakosea wapi? Tuseme kwamba labda Kuna watoto wengine hawapiti mikononi mwetu, hili Si Kweli, Mbona huku darasani tunawafundisha msiibe, tunawafundisha msizini, Kila mtu awe na mke...
  3. Kwanini watoto wa viongozi wa umma hawasomi shule za umma?

    Watoto na wajukuu wa viongozi wakuu wa umma (Rais, Marais wastaafu, mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya, wabunge, wakurugenzi wa wilaya, wakuu wa mashirika ya umma, wakuu wa chama tawala, nk) hawako kwenye shule za umma wanazozijenga na kuziongoza kwanini? Ni watoto na wajukuu wa wakulima...
  4. Kupandishwa Cheo Kazini baada ya kutokutwa na Jinai kwenye Utumishi wa Umma

    Wadau ninaomba kufahamishwa kuwa ni kifungu gani cha sheria katika Sheria ya Utumishi wa Umma ambacho kinatamka kwamba mtumishi wa umma aliyetuhumiwa kwa makosa ya jinai akikutwa hana hatia arejeshwe kazini na apewe stahiki zaje zote ikiwemo na kupandishwa cheo?
  5. TANROADS yatoa msaada wa vifaa tiba vya zaidi ya milioni 2 katika kilele cha wiki ya utumishi wa umma

    TANROADS YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA ZAIDI YA MILIONI 2 KATIKA KILELE CHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), imetoa msaada wa vifaa tiba katika kituo cha afya Segerea vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mbili. Miongoni mwa vifaa vilivyotolewa ni pamoja...
  6. Wakenya kutaja mali za Watumishi wa Umma na kuwauliza wamezipataje!?

    Baada ya kufanikiwa kwa kiasi kwenye maandamano ya kuzuia muswada wa sheria ya fedha uliopitishwa na wabunge usisainiwe na Mh Rais,Wakenya sasa wanakuja na namna nyingine ya kuwatambulisha wezi wa mali ya Umma,Wananchi wa Kenya wameonelea kutaja mali za watumishi wa Umma,wabunge na mawaziri ili...
  7. B

    SoC04 Bingwa wa Masuala ya Umma alitoa Ushauri wa Kukuza Uandishi wenye Tija nchini Tanzania kwa kutumia Akili Mnemba

    UTANGULIZI Mnamo tarehe 30 Juni 2024, Bingwa wa Masuala ya Umma alitoa ushauri muhimu kuhusu njia za kuongeza matumizi ya Akili Mnemba katika kuchochea uandishi wenye tija kwa maslahi ya umma katika miaka 5-25 ijayo na kujenga 'Tanzania Tuitakayo'. Mtaalamu alisisitiza kuwa kwa kufuata mikakati...
  8. SoC04 Serikali iwekwe sera itakayo saidia uwepo wa mshauri wa saikolojia Katika idara za utumishi kwenye taasisi zote za umma na sekta binafsi

    Kiukweli watumishi watumishi wa umma na wale wa sekta binafsi wanakubwa na changamoto nyingi sana za kiutumishi,kijamii,kisiasa na kiuchumi pia suala hili serikali isipolipa uzito mapema matokeo yake itakuwa na madhara makubwa sana haswa Kwa watumishi wa umma ambao changamoto hii ni kubwa sana...
  9. KERO Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) inaangamiza watumishi wa umma

    Salaam! Ni jumanne iliyo njema sana. Moja Kwa moja kwenye mada. Bodi ya Mikopo (HESLB) imekuwa ikiwaangamiza watumishi wa umma ambao waliwahi kuwa wanufaika wao walipoamua kujiendeleza kielimu bila kuzingatia kanuni ya 1/3 (Moja ya Tatu) ya mshahara. Nimeshuhudia na/kuona watumishi wakipokea...
  10. Serikali yatishia kuifungia KTN iache kuripoti Maandamano, KTN yajibu haitaacha kuripoti taarifa zenye maslahi kwa umma

    Chombo cha Habari KTN chasema kimepokea vitisho vya kufungiwa kwasababu ya kuripoti maandamano, waambiwa waache mara moja kuripoti habari hizo. KTN wajibu na kusema hawatacha kuripoti matukio yenye maslahi ya umma kwa wananchi.
  11. Watumishi wa umma wale wa madaraja sikilizeni hapa mpaka mwisho

    Majibu ndio hayo msisononeke
  12. SoC04 Magufulication: Mahakama ya ufisadi iwekwe kisheria kulinda mali za umma na uwajibikaji

    Ni kama ndoto ya usiku wa manane, nazishuhudia zile siku nzito zisizosahaulika za kampeni za wabunge na urais mwaka 2015 , namshuhudia Hayati Dkt John Pombe Magufuli, akimwaga sera zake za kuomba kuchaguliwa kuwa rais, ana iahidi Tanzania na ulimwengu kuwa akichaguliwa tu, ataanzisha mahakama...
  13. Mishahara imechelewa kutoka June 2024, watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

    Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka. Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni. UPDATES: Habari hii imekanishwa. Zaidi soma...
  14. Naomba connection ofisi ya utumishi wa umma

    Wakuu naomba mtu atakayeweza kunipa connection pale ofisi ya utumishi wa umma. Nataka nipate mtu pale anisaidie kupush jambo langu la uhamisho/kubadili kada
  15. O

    Hii ndio nchi ambayo Usafiri wa Umma ni Bure

    Huwezi kuamini lakini ni kweli, tangu mwaka 2020 njia zote za usafiri wa Umma nchini Luxembourg kama vile mabasi na treni ni BURE kabisa. Ilianza rasmi mwaka 29 Februari 2020, ambapo malipo kwa usafiri wa Umma yalifutwa kwa wakazi na hata watalii wanaotembelea nchi hiyo, maneno mengine...
  16. Ni wakati Muafaka sasa watumishi wa Umma kumsamehe Hayati Magufuli na kayaishi Mazuri yake

    Watumishi wengi mpaka leo hii hawamkubali JPM kwa sababu kuu nne 1.Mishahara haikupanda 2.Watu hawakuajiriwa 3.Madaraja hawakupandishwa 4.Mianya ya Upigaji ilizibwa Sasa mambo mengi mazuri ambayo Magufuli kaifanyia hii Nchi ni wazi sasa ni wakati Muafaka watumishi kusamehe na kuyaenzi...
  17. R

    Rais Samia kemea haya ya matumizi mabaya ya fedha za umma angalau kidogo

    Si ajabu zimetoka bi milioni 500 kununu gari kwa ajili ya kuunda msafara wa kwenda Bungeni kusoma bajeti. Ufidhuli gani huu Extravagancy of the highest degree https://youtu.be/NG15iZ2P4aQ
  18. L

    Rais Samia kupokea Gawio na Michango kutoka Mashirika na Taasisi za Umma, Matukio kurushwa live kupitia vyombo vyote vya habari

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka , shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Hii leo muda na Majira ya saa tano asubuhi atafanya tukio zito sana...
  19. SoC04 "Kuboresha Huduma za Afya Tanzania: Mikakati ya Kuimarisha Utendaji wa Manesi na Kurejesha Imani ya Umma"

    Utangulizi: Katika Tanzania, huduma za afya zinaendelea kuwa muhimu katika kuboresha ustawi na maendeleo ya jamii. Hospitali za umma zinachukua jukumu kubwa katika kutoa huduma hizi kwa wananchi, na manesi wanashikilia nafasi muhimu katika utoaji wa huduma za afya kwa ujumla. Hata hivyo, katika...
  20. S

    SoC04 Mgawanyo Bora wa Madaraka na Mishahara ya Wafanyakazi wa Umma

    Tanzania tunayoitaka ni taifa linalojengwa juu ya misingi ya usawa, haki, na maendeleo endelevu. Moja ya changamoto kubwa tunazokabiliana nazo ni mgawanyo usio sawa wa madaraka na mishahara kwa wafanyakazi wa umma. Wakati wabunge wakipokea mishahara mikubwa, watumishi muhimu kama walimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…