Usitishike wala kufeel vibaya Watanzania tunaopinga maovu na upigaji tupo nyuma yako. Yale 1995 ya marehemu Agustine Mrema huenda yakajirudia 2025. Wewe komaa usitishwe na Mafisadi. Hii nchi ni ya Watanzania.
Wito kwa wote wanaopenda mabadiliko na Upinzani wa kweli.
Popote ulipo, tunaomba ujisikie kukijenga chama hiki cha ukombozi wa awamu ya tatu.
Binafsi najitole kujenga ofisi ya chama katika ngazi ya Mkoa au wilaya. Nitajenga kwa pesa zangu mwenyewe.
Karibu ewe mpenda haki, karibu na ubarikiwe.
Ukifuatilia kwa makini utagundua hofu ya CCM iko kwa Umoja Party tu na wala siyo kwa Vyama vingine vya Upinzani kama CHADEMA na ACT Wazalendo
Bado nafanya utafiti nijue Ndani ya UP kuna nini kinachotisha tofauti na Vyama vikongwe
Mungu ni Mwema wakati wore!
Kinachoendelea kwa Serikali ya CCM na CCM yenyewe ni mwendo wa maridhiano ili nchi itulie kila anayekula na kipofu asiguswe mkono.
Kama hiyo ndiyo njia muafaka iliyochaguliwa basi hakuna haja ya kujenga chuki na waasisi wa Umoja Party inayoendelea nchini kutafuta wadhamini Ili hatimaye kipate...
Enyi viongozi wa vyama na wanasiasa,
Nataka niwaambie ukweli mchungu:
Mpaka sasa hakuna chama kilichojipambanua kuwakilisha mawazo ya wananchi wengi,
Kama wananchi watapiga kura 2025 watapiga kura za visilani tu, usishangae hata vyama visivyopata kura nyingi vikapata kura nyingi kuliko wakati...
Mbona kimya ghafla? Nini tatizo wandungu?
Kila Kona ya nchi watu wamejawa na kiua ya kuona usajili wa chama pendwa Duniani.
Watu wanataka kuvunja rekodi za chama kuvuna wanachama mamilioni Kwa wiki Moja tu, tena bila mikutano ya hamasa.
UMOJA party kinawanachama kabla ya kusajiliwa, ni chama...
Chama cha Umoja Party ambacho ndio kilikuwa chama cha kutetea legecy ya Jemedari Hayati Magufuli kimekataliwa kupewa usajili licha ya kuwa na vigezo vyote
Ni dhahiri serikali ya sasa inaogopa nguvu ambayo chama hiki kingekuwa nayo na kingeitoa CCM madarakani
Sasa kwa kuwa chama cha TLP...
Umesahau wewe kama mtanzania ulishuhudia pesa nyingi za walipa kodi na Watanzania wanyonge zilikuwa zinaliwa na mafisadi wa CCM?
Ila kuna Kiongozi alikuja akawabana na hao mafisadi na akafanyiwa fitina kubwa.
Watanzania wanahitaji chama ambacho kitalinda rasilimali zao na kutetea maslahi ya...
Nasikia watafunguka mengi. Na hawa ndio wataweka mambo hadharani
👇
1. Job Ndugai huyu atafunguka mengi maana inasadikika namna alivyog'olewa ni sababu alitaka kuleta kauzibe kwa wapiga madili.
2. Luhaga Mpina huyu atafunguka mengi sana huko mbeleni na hali ya hewa itachafuka.
3. Dk . Bashiru...
Kosa kubwa lililofanywa na kundi hili (lililoanzisha hiki chama) ni kuweka picha ya mtu aliyeumiza watu wa makundi tofauti tofauti nchi hii kwenye kofia na tshirt za chama chao.
Mtu waliyemuweka kama nembo aliumiza:-
- WAKULIMA . huyo mtu aliwatesa wakulima kwa kukataza wasiuze mazao yao mahala...
Amani ya Mungu ipitayo amani zote iwe nanyi wapendwa,
Naomba kujuzwa zinakopatikana ofisi za chama cha Umoja (Umoja Party)
Ninawiwa kushirikiana nao kusukuma mbele gurudumu la kuzijenga upya siasa za taifa la Tanzania.
Nimetafakari na kujihoji na mwisho nimefikia lengo la kutaka kuingia...
Huu ndio utabiri wangu kwa wale wabunge waliovuliwa uanachama na Baraza Kuu la CHADEMA.
Hata hivyo, Mama kupitia washauri wake, anaweza kuwapa baadhi yao nafaai za uteuzi serikalini hasa Mdee wakiamini kufanya hivyo ni kuwakomoa CHADEMA wakati ni kuwamaliza kabisa kisiasa wanawake hawa.
Muda...
Salaam Wakuu,
Chama kipya cha Siasa kinachoitwa Umoja Party, inasemekana ni chama kinachofuata, Uongozi wa Hayati Magufuli. Inasemekana Vigogo wengi wa CCM wapo nyuma ya hiki chama.
Wafuasi wengi wa Umoja Party wanadai Rais Samia hafanyi kazi kama Magufuli, na Watu Magufuli aliowaamin kama...
Ccm imechokwa na kila mtu asiyekuwa fisadi, mnufaika wa ufisadi na asiyekuwa mwana ccm. Watanzania wamekuwa wakisubiri Chama cha Ukombozi kutoka madhira ya ccm. Je ni Umoja Part, ama Kingine?
1). Katika Umoja Party, ni muasisi pekee ndie mmiliki wa chama ama ni chama cha watu na kila mtu...
mi ni miongoni mwa waliomsifia Rais Samia Kwa baadhi ya mambo Kama hili la kuleta demokrasi angalau Kwa asilimia 35 , ni vizuri Kabisa kuona hata ndani ya Chama kuna wanaotofautiana mawazo na yajibiwe Kwa heshima si matusi.
Leo nimemuona Mbunge mstaafu wa Iringa mjini akisifia Royal tour ni...
Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.
Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
Nilijitahid sana kutoandika siasa lakini Imenibidi.
Tulimhukumu sana Kikwete kuwa na mchezo mchafu wa kukata na kuendesha chama Vibaya kumbe tulikosea.
Mwaka ujao ni wa Uchaguzi tutashuhudia mpasuko Mkubwa wa CCM hata kama watashinda lakin si kwa kishindo, na mpasuko huo ni mkubwa kuliko watu...
Kuna Sifa nyingi zinasemwa kuhusu ujio wa Chama kimpya kiitwacho Umoja Party lakini sifa kubwa inayoongelewa sana ni kuwa Chama hiki kitakuwa na mlengo wa hayati DR. John Pombe Joseph Magufuli.
Wanaoandika Kwenye mitandao wanajinasibu kuwa Chama hiki kitazoa wafuasi wengi na kushinda uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.