Hiki Chama kimeanza na ubaguzi. Hivi Tanzania ya leo au hata hio ya zamani watu wake ni weusi watupu? Na kusema Rangi nyeusi inawakilisha Uafrika wetu hili nalo neno la kibaguzi, tayari inaonyesha hiki Chama kina chuki. Je, tunaijua Afrika na kama tunaijua. Je, Afrika watu wake ni weusi watupu...