Vyama vya upinzani vijifunze ulaya na Marekani kunapokuwa na swala la kitaifa wamoja na Chama tawala
Mfano nchi za ulaya na marekani wakiamua kuinyonya Africa au nchi ikishambuliwa vyama vyote tawala na upinzani huwa kitu kimoja
Pia ikitokea mfano kuna mkutano mkubbwa wa kimataifa unafanyika...
Nia na dhamira yake njema ni ya wazi na yenye lengo la kuhakikisha umoja, amani na utangamano miongoni wananchi na Tanzania kwa ujumla, ni imara licha ya utofauti wa mirengo ya kisiasa au kidini, lakini kama Taifa tunabaki kua ndugu, jamaa na marafiki kwa maslahi mapana ya Taifa.
Dr.Samia...
Wakuu,
Hivi karibuni Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi,Uenezi na Mafunzo CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis alisema kuwa serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) inaenda kujifia 2025 na pamoja na kwamba anaipenda sana aina hiyo ya serikali lakini hana jinsi zaidi ya kuona mwisho wake...
Ninaona kwenye youtube matukio yakitokea Arusha wananchi wanaungana wote kama ni mazishi au uokozi wote wanakuwa na awareness.
Kwa mfano panya road wangekuwaga Arusha wangeshamalizwa na wananchi wenyewe umoja kama huo ni mzuri tena unakuta jinsia zote zinashiriki na watu wa rika lote...
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa ninao ushauri huu kwa Mh Rais wangu Samia Suluhu Hassan.
Ushauri wangu ni kuwa afanye utaratibu wa kisheria wa kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Tanzania Bara kama ilivyo kwa Tanzania Visiwani.
Faida yake ni kuwa itampunguzia upinzani ndani ya CCM na...
AFRIKA KUSINI: Chama Tawala cha African National Congress (ANC) kimekubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa baada ya kupoteza idadi kubwa ya viti vya Ubunge.
Akitoa taarifa hiyo baada ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama (NEC) Rais Cyrill Ramaphosa amesema “Tumeridhia kuvialika Vyama vya Siasa...
Na
Fredrick Nwaka
Tanzania ni nchi inayosifiwa Afrika na duniani kote kwa utulivu wa kisiasa, ikilinganishwa na mataifa jirani kama Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Msumbiji na DRC ambazo zote zimepitia majaribu makubwa ya kisiasa ambayo kama kusingechukuliwa hatua za makusudi kumaliza majaribu...
Hii ndio gia mpya waliyoamua kuja nayo baada ya Chaguzi zao kumalizika
Zaidi soma hapa
--
Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 8 Machi 2024 jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema viongozi wa chama hicho watakutana na Rais wa Jamhuri wa...
Kwa mara ya Kwanza tangu atenguliwe kwenye Ukuu wa Wilaya , Ndugu Jerry Murro ameonekana hadharani .
Amekutwa ndani ya Bunge huko Dodoma akichangia kuhusu Miswada ya Sheria za Uchaguzi ( Haijulikani alipelekwa na nani ) , Bali nilichokiona leo nimegundua kwamba Madaraka ndio yanayoharibu tabia...
Wanajamvi Salam,
Katika siasa hakuna kinachoweza kutokea kwa bahati mbaya.
Kila jambo katika siasa hubuniwa na wabobezi na kupangwa kwa ustadi mkubwa kupindukia, na halafu huchakatwa kwa umahiri sana na kisha hutekelezwa na wataalamu kwa umakini na weledi wa hali ya juu mno ili kusudi...
UTANGULIZI
Umoja wa kitaifa ni hali ya mshikamano kati ya watu wa taifa. Ni hisia ya kuhusishwa na utambulisho wa pamoja ambao huwaunganisha watu na kuwaleta pamoja, bila kujali tofauti zao za kikabila, kidinii, kiitikadi na kiasili. Umoja wa kitaifa ni muhimu kwa taifa lenye nguvu na ustawi an...
Habari JF,
Kwa wasio fahamu hii itikadi ya Kundi la Sukuma Gang inaundwa na watu wa aina 3 na ilikuwepo hata kabla ya 2015 kipindi hicho wakiwa ni wafuasi wa Lowassa ndani ya CCM hivyo baada ya kukatwa 2015 wengi wao wakaungana na Kundi la pili wanao support falsafa ya Hayati Magufuli.
Aina ya...
Ninawasalimu kwa jina la chama pendwa CCM.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwamba hili jambo limenitafakarisha sana. Tukumbuke mara baada ya uhuru waasisi wa taifa walipambana sana kujenga umoja wa kitaifa kwa mbinu nyingi na juhudi kubwa.
Kiswahili kilitumika na kinaendelea kutumika...
UTANGULIZI
Makala hii inajikita katika kuangalia namna Bora ya kuwa na umoja na ushirikiano wa kitaifa wenye tija Bila kumuathiri mtu au kikundi chochote Cha Watu katika nchi yetu! Ingawa mara nyingi tunaambiwa hakuna mabadiliko yasiyo na maumivu hata hivyo Kwa njia hizi zikitumika ipasavyo...
Miaka 45 ya CCM ni tumaini na imani ya umoja wa kitaifa kwa Watanzania
Deogratias Mutungi
Hii ni tafakuri fupi inayomulika kipindi cha miaka 45 ya Chama cha mapinduzi CCM katika uongozi wa kisiasa ndani ya taifa letu katika nadharia ya siasa, itikadi sambamba na kusimamia na kuenzi falsafa ya...
Kwani uchifu ni utamaduni wetu? Makabila mengi hawakuwa na wachifu. Waliwekwa na wakoloni kwa maslahi yao (km Wazanaki). Uchifu ulipigwa marufuku na sheria mnamo 1962. Machifu waliyokuwepo (km Adam Sapi, Fundikira, Kunambi nk) waliingizwa Serikalini katika nyadhifa mbalimbali.
Ufutaji wa...
Mnalalamika hovyo kila kona eti Rais wa JMT, mama Samia hajatekeleza ahadi ya kuleta umoja wa kitaifa. Hii yote ni kwa sababu Mbowe na wenzake wanatuhuma za kupanga njama za kutekelwleza ugaidi na walikamatwa na kufikishwa mahakamani
Je, mlitaka kama kweli wanahusika na njama hizo...
Rais,
M/wa kwanza wa Rais
M/wa pili wa Rais.
Ikitokea Rais kaitwa kuwatumikia malaika nani anapanda kuwa Rais?
1. Kama atapanda No 2 kuwa Rais na No 3 kuwa M/wa kwanza wa Rais.Ni yupi mwenye mamlaka ya kumteua M/wa pili wa Rais.
2. Shughuli za baraza la wawakilishi ni yupi atahusika.
3. Rais...
17 September 2021
Unguja, Zanzibar
Makamu wa Kwanza wa Rais wa akutana na Balozi wa Marekani kujadili GNU na maendeleo ya Zanzibar
Makamu wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mh. Othman Masoud Othman amekutana na Mh. Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mh. Donald Wright na kufanya mazungumzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.