Niger, Mali na Burkina Faso ambazo zinaunda umoja wa nchi za Sahel ( AES) zinatarajia kuanzisha kikosi cha pamoja ili kupambana na magaidi.
Hayo yalibainishwa na waziri wa Ulinzi wa Niger Jenerali Salifou Modi mnamo tarehe 21 Januari 2025 wakati wa mahojiano yaliyorushwa na Televisheni ya Taifa...