umoja wa nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania yashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM)

    Takriban theluthi mbili ya nchi duniani zimekusanyika Jijini Kampala, Uganda kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) wenye nchi Wanachama 120 na Mkutano wa nchi za Kundi la 77 na China (G77+China) lenye Wanachama 134. Tanzania ni...
  2. Iran anachokifanya kwa nchi za Iraq na Pakistan, ni unafiki kusema kuna umoja wa nchi za Kiislamu

    Ujinga tupu kama nchi yako ikajiunga na kuwa miongoni mwa nchi za Kiislam! Aliyeikataa OIC nchini petu Tanzania, apewe mauwa yake. Kinachofanyika na kufanywa na nchi ya Kiislamu IRAN kwa nchi za kiisilamu nyenzake, ni uhuni na ulimbukeni kuendelea kuamini kwamba hili nalo ni taifa linalounga...
  3. Mzee Machano: Nilikuwa nafungwa kila ikikaribia maadhimisho ya sikukuu ya Mapinduzi

    https://www.youtube.com/watch?v=GhjjJPkjhEQ Lambart Stanislaus mtangazaji wa Dar24 Media akiwa Mombasa Zanzibar alimuhoji Mzee Muchano Hamis Ally kuhusu Sakata la yeye kufungwa kila maadhimisho sikuu za Mapinduzi zinapokaribia. Lambart: Tuambie hasa wewe ni nani tangu enzi zile za Afro Shiraz...
  4. Siasa za Tanzania: Ukabila na Ukanda sasa rasmi, mwanzo wa kuanguka umoja wa Kitaifa-Uchaguzi wa CCM umedhihirisha!

    Sisi tulio makabila madogo na tulio pembezoni, tulionya sana katika miaka y karibuni juu ya kujitokeza vashiri vya Ukanda, Udini na Ukabila katika siasa za nchi. Sasa zimeanza kujitokeza dhahiri na kwa kila mtu kujionea kwa macho yake yanayoendelea nchini. Kama kuna kielelezo kinajitokeza ili...
  5. Ndiyo kusema Tanzania imejiunga kwenye Umoja wa Nchi za Kiarabu kimya kimya?

    Nauliza swali hili kutokana na mabadiliko ya lugha katika baadhi ya bidhaa ambazo hapo kabla hazikutumia lugha ya Kiarabu. Ningeweza kuweka baadhi ya picha za bidhaa hizo, lakini kwa sababu za kibiashara nimeona si vyema. Kama tayari tuko kwenye umoja huo, tuambiwe ili tujue. Kwasababu hata...
  6. S

    Umoja wa Ulaya (EU) wagawanyika mafungu matatu juu ya vikwazo vya mafuta na gesi ya Russia

    Baada ya Russia kuivamia kijeshi Ukraine, Russia imewekewa vikwazo kadhaa na nchi mbali mbali zikiwemo US, UK na nchi kadhaa zinazounda Umoja wa Ulaya (EU). Ktk vikwazo vya hivi karibuni zaidi ni vikwazo vilivyotangazwa na US dhidi ya nchi hiyo kununua mafuta ya Russia na ikaahidi kutangaza...
  7. Kauli, matamko ya Rais Samia yaliyoleta umoja na utulivu wa nchi

    Amani iwe nanyi, Kuna kauli mbalimbali ambazo zilitolewa na rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan zilizopelekea Watanzania kuwa wamoja zaidi na kuifanya nchi kutulia mara baada ya msiba mzito wa kuondokewa na rais Magufuli. Binafsi ninazo kauli mbili ,kama na wewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…