umri kupata mtoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukifikisha umri wa miaka 33 bila mtoto ni tatizo, ukiwa huna kipato cha uhakika ni tatizo pia

    Ukifikisha umri wa miaka 33 bila mtoto ni tatizo, ukiwa huna kipato cha uhakika ni tatizo pia. Ukiwa huna mwanamke wa uhakika wa kuishi nae ni tatizo Sikiliza video. Mtangazaji yupo sawa au yeye ndio anatatizo?
  2. M

    Ukipata mtoto ukiwa na miaka 40, mpaka anamaliza chuo utakuwa na umri gani?

    Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani? Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI. Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…