ugonile,
before sijajiajiri nilikua nikijiuliza sana hili swali bila kupata majibu endapo nimgeangukia kwenye hayo mambo ya kuajiriwa.
wale mliopo huko ofisini na mpo chini ya watu wanaowazidi cheo mnawezaje kustahimili purukushani za apa na pale especially kama huyo mkubwa wako kicheo ana...