umri na mapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Kijana wangu miaka 11 kashaanza kutongoza na kujisifu handsome boy, kanistua sana, nichukue hatua zipi?

    Wataalam wa malezi naombeni msaada wenu Na huwa nipo bize kumuwekea katuni na muvi za watoto kwenye flash, nimemnunulia game ya tv (playstation), kwenye tv nimembana aangalie zaidi mpira na mieleka tu. hakuna simu wala internet. Jana nikiwa sebuleni nilikuwa nacheki tv, sikuiona rimoti ikabidi...
  2. matimbanyula

    Wananiandama kisa kanizidi miaka mitatu, niendelee na mpango wa kukamilisha uchumba?

    Ndugu wana jamvi nisadieni kwenye hili, Mpenzi wangu kanizidi miaka mitatu, kwangu mimi sio tatizo ila walimwengu wamelibebea bango mpaka naogopa kukamilisha mpango wa uchumba.
Back
Top Bottom