umri sahihi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Umri sahihi wa kuoa ni miaka mingapi?

    Naombeni Majibu Umri sahihi wa kuoa ni miaka mingapi pamoja na -kupata mtoto Nimeshajipata ,now Nina miaka 23 ,Nina kazi Serikalini, Nyumba, Elimu Japo kwa Msaada wa Wazazi
  2. Jack Daniel

    Kubali kuwa umri wako umesogea, wakati ukuta

    Salaam jamiiforum Hii ni ijumaa,ni weekend ndogo kwa baadhi ya wafanyakazi wavivu na hata wanafunzi,mtu anajikuta tu haendi kazini bila sababu za msingi.kwa leo hata Mimi ni mmoja wapo Leo tuliangalie suala la umri na kukumbushana mambo kadhaa,ili kutambua wapi tumetoka ,tulipo na hata...
  3. TheMaster

    Umri wa miaka 68 ndiyo umri sahihi wa kustaafu uenyekiti CHADEMA?

    Nimesikiliza hotuba yote ya Ndugu Mwenyekiti F A. Mbowe. Pamoja na mambo mengi ya kushangaza katika hotuba ile ikiwemo kuonekana Mwenyekiti amekamia kukomoana, lakini binafsi nimeshtushwa sana na kauli yake ya kusema anataka amalizie ngwe yake ya mwisho kwasababu hadi sasa ana miaka 63, hivyo...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Binti, kama unampango wa kuolewa usichelewe kuolewa. Umri sahihi 20 - 30

    BINTI, KAMA UNAMPANGO WA KUOLEWA USICHELEWE KUOLEWA. UMRI SAHIHI MIAKA 20 - 30. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuolewa ni faradhi lakini kuzaa inaweza kuwa majaliwa yaani mapenzi ya MUNGU. Ikiwa unajua kuna siku utataka Kuolewa au utaolewa Basi ninakushauri usichelewe kufanya hivyo. Umri...
  5. M

    Umri sahihi wa Saido Ntibazonkiza ni upi?

    Ukiingia Wikipedia ya English version unaambiwa born January 1984.. Ukiingia Wikipedia Swahili version unaambiwa may 1987.. Sasa sijui tufuate lipi.... anyway hivi huyu jamaa Kwa sasa anakipiga wapi
  6. Naked

    Umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi?

    Mamboo Naomba mnijuze umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi tusije pishana na umri. Mwanaume kwa kawaida anaoa akiwa na umri gani?
  7. MamaSamia2025

    Tunahitaji mjadala wa kitaifa kuhusu umri sahihi wa mtu kuitwa kijana

    Binafsi mimi ni kijana mdogo wa miaka 38 na mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi. Huu uzi umeandikwa na kijana. Pamoja na kujitambulisha ila kama kichwa cha habari kinavyosomeka imefika sehemu kama taifa tunahitaji mjadala kuhusu upi ni umri sahihi wa mtu kuendelea kuitwa kijana tofauti na hali...
  8. Titus3652

    umri sahihi ni upi wakuwa na maisha bora

    wakuu habari za muda huu naleta uzii huu kwa vijana ningependa kujua umri sahihi wa kua na maisha bora maana maisha ya sasa yamekua tough kweli kweli na matobo ni hayaonekan ili kutoboa kijana wenu ni early 20's nawasilisha
  9. Chinga One

    Upi ni umri sahihi wa mtoto kuacha kuingia chumbani kwa wazazi wake?

    Kwa sisi makabila ya kusini mara tu mtoto (wa kike na kiume) anapopitia jando na unyago,hua ndio tiketi ya kuacha kuingia chumbani kwa wazazi wetu, ulingana na mafundisho tunayopewa kule, Haijalishi una umri gani yani hata uingie jando na miaka 8 Ni MARUFUKU KABISA na kamwe hautakaa uingie...
  10. The Sheriff

    Alama za kutambua aina za maudhui ya filamu na umri sahihi wa mtazamaji

    Kuna namna nyingi sana mtoto wako anaweza kufikia maudhui tofauti kwa kupitia vipindi vya televisheni na filamu kwa urahisi. Watoto wa kizazi hiki wamekuwa na fursa nyingi zaidi za kutazama maudhui yasiyofaa. Uelewa wa mzazi kuhusu aina za filamu na vipindi vya TV au video za mtandaoni ni...
  11. lwambof07

    Ni upi umri sahihi wa kuacha kumuadhibu mtoto?

    Hello hello, Kulea ni jambo zito sana sio jepesi hata kidogo, katika kulea wazazi hukutana na changamoto nyingi sana ambapo kuna wakat hadi wanajiuliza kwa nini nilimzaa huyu mtoto hasa pale mtoto anapokuwa haambiliki hasikii, hapo kiboko hutumika sana kujaribu kumuweka sawa. Hivi ni wakati...
Back
Top Bottom