Salaam jamiiforum
Hii ni ijumaa,ni weekend ndogo kwa baadhi ya wafanyakazi wavivu na hata wanafunzi,mtu anajikuta tu haendi kazini bila sababu za msingi.kwa leo hata Mimi ni mmoja wapo
Leo tuliangalie suala la umri na kukumbushana mambo kadhaa,ili kutambua wapi tumetoka ,tulipo na hata...