Kuna siku wananchi wa Ukraine walipiga kura wakajikuta wameingia mkenge kwa kumchagua mtu ambaye amelitumbukiza Taifa kwenye maafa na majanga makubwa sana ya kivita!
Sasa Rais mwenyewe anajuta na wananchi wenyewe wanajuta!!
Kupiga Kura ni Ibada ndio Sababu tunasemaga Kiongozi ni Chaguo la Mungu wa Mbinguni
Hivyo kama Wewe ni above 18 basi jiandikishe kupiga kura
Ukimchagua Kiongozi Kwa kura halali halafu Kiongozi huyo akawa mwizi na Fisadi basi utakapomshtaki Kwa Mungu wa Mbinguni ataadhibiwa Kwa kipimo kile kile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.