ni katika kuipongeza serikali hii sikivu, kutambua, kumpongeza na kuunga mkono nia na dhamira ya dhati ya mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzanian Dr. Samia Suluhu Hassan, kwa hatua muhimu za makusudi, kimkakati katika chochea mageuzi na kuwaletea waTanzania maendeleo endelevu, kijamii...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM -Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amewaomba Watanzania kutokujitokeza kwenye maandamano yanayoitishwa na upinzani kwani maandamano hayo hayatabadilisha jambo lolote Nchini hivyo maandamano hayo hanaya faida kwa wananchi wa Tanzania
Amesema “Kama Chama...