Nakumbuka nilianza kwa kuning'nia juu ya paa la nyumba kisha kupush mwili wangu ups&down, then push ups 80 hadi 120 kila siku.
Nikawa nachelewa kuamka sababu mazoezi sikuyazoea hivyo nilikuwa nasikia uchovu sana na mgongo pamoja na mbavu ziliniuma sana.
Ilipo timia miezi 3 tangu kuanza...
Mbona maji umejua faida yake na ndo maana unayanywa Kwa bidii na chakula bora una jitahidi kuupatia mwili wako lakini kwanini nguzo moja ya afya bora unaipotezea?
Nayo ni kufanya mazoezi walau ya ku kutoa jasho everyday hasa ya kukimbia kimbia maana ndo rahisi hayachoshi ni safe sana kukimbia...
Kwa mujibu wa utafiti wa Harvard, kufanya mazoezi mara kwa mara kunaweza kuongeza muda wa kuishi! 🌟
Mazoezi yanafaida nyingi kwa afya yetu, ikiwa ni pamoja na:
Kuboresha afya ya moyo ❤️
Kupunguza hatari ya magonjwa sugu kama kisukari na shinikizo la damu 🚫
Kuboresha mfumo wa kinga 🛡️...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.