Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa Vijana wengi Duniani wanakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo elimu duni na ukosefu wa ajira, hali inayowasababisha kukosa matumaini, kujiingiza katika uhalifu...
Jumanne, saa 3 hii tayari watu wamekaa vijiweni wanajadili Simba na Yanga. Hapa ndiyo nchi yetu ilipofikia, vijana kutumia muda mwingi kubishana kuhusu nani amesajiliwa na timu gani, analipwa kiasi gani wakati maisha yao yapo hohehahe.
Nchi ina hali mbaya sana kama kijana akitoka tu kuamka...